Published 1 year ago in Afropop & Afrofusion, in album: Visit Bongo

Tena

  • 6
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

This 14-track album showcases a fusion of Bongo Flava, Afrobeat, RnB, and Amapiano sounds as he takes his fans on a musical journey through the diverse landscapes of Tanzania

Lyrics

Kwanza nimekua
Nimemature
Mapenzi nayajua
Nje ndani
Ya walimwengu si unayajua
Badi tuombee dua
Mbona litakuwa
Apangalo maanani

And I just wanna make you my baby
And marry you today
Cuz I love you everyday
Forever and ever uuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I'm ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo
My boo

Tena nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda

Yeah in a life kuna kupanda na kushuka
Na kuteleza si kuanguka
Ma X mtabaki kunikumbuka
Maana raundi hii sijakurupuka
Nina uhakika
Pili kwake nimefika
Tatu ye ndo anayepika
Mi napakua

Yeah wapo wanaodhani umeniroga
Ukinipa chakula unanipa na mboga
Mahaba yanamiminika tunaoga
My baby eeh

And I just wanna make you my baby
And marry you today
Cuz I love you everyday
Forever and ever uuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I'm ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo
My boo

Tena nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda

Tena nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
I'm in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda

::
/ ::

Queue

Clear