Published 1 year ago in Afropop & Afrofusion, in album: Visit Bongo

Best Woman

  • 46
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

This 14-track album showcases a fusion of Bongo Flava, Afrobeat, RnB, and Amapiano sounds as he takes his fans on a musical journey through the diverse landscapes of Tanzania

Lyrics

Mmmh Mmmh Mmmh
Cough Cough Cough
Mara Kumi Nifungwe Jela Miaka Mingi Kama Mandela
Ama Nifiege Huko Huko Bora Nifiege Huko Huko
Kuliko Kukuona Unateseka Mum Ukiteseka Moyo Unapata Tabu
(Cough)
Kuna Muda Mwingine Nakukera Bhasi Nakupoza Navidera Mitaa
Na Mazaga Ya Kariakoo Na Vitu Vya Baridi Upozee Koo Yanaisha Tunacheka
Vimba Mama Ringa Deka Maana Una Kila Sababu
Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo
Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You
Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia
Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia
I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You
(Cough)
Man Hakuna Kama Mama Yangu Mimi
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Yani Kuna Mama Na Mama Yangu Mimi
Mama Ni Mama
Ooh Mama
Mama Ni Mama
I Love You Mama
Mama Ni Mama
I Love You Mama
Mama Ni Mama
I Love You Maaa
Mama Ni Mama
Maaaa
Mama Ni Mama

Mama Ni Mama
(Cough)
Its Your Birthday Mama Vaa Pendeza Hujazeeka Acha Kujiendekeza
Wajukuu Zako Watakufundisha Kucheza Onja Na Kawine Kama Ukiweza Mama
(Ooh Mama I Love You)
(Cough)
Yeih
Mama Yangu Wewe Ni Nguzo Maisha Mwangu Taa Imulikayo Mbele Yangu
Maneno Yako Mama Yanaongoza Maisha Yangu Ooooh Mama I Love You Mama
Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo
Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You
Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia
Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia
I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You
Hivi Uliwezaje Kila Siku Kunibeba Kwa Mgongoo Nisijichafue Na Udongoo
Ukanipangusa Matongo Tongoo Aah Mama Aah Mama I Love You Mama Mama Love You
Mama Penye Nia Pana Njia Namuomba Mungu Ndoto Yangu Ije Timia
Siku Name Niweze Kuyafikia Hata Robo Ya Mazuri Uliyonifanyia
I Love You Mama I Love You Mama Mama Love You

(Cough)
Man Hakuna Kama Mama Yangu Mimi
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Mama Ni Mama
Yani Kuna Mama Na Mama Yangu Mimi
Mama Ni Mama
Ooh Mama
Mama Ni Mama
I Love You Mama
Mama Ni Mama
I Love You Mama
Mama Ni Mama
I Love You Maaa
Mama Ni Mama
Maaaa
Mama Ni Mama

::
/ ::

Queue

Clear