Published 1 year ago in Afropop & Afrofusion, in album: Visit Bongo

Boss

  • 27
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0
  • 0

This 14-track album showcases a fusion of Bongo Flava, Afrobeat, RnB, and Amapiano sounds as he takes his fans on a musical journey through the diverse landscapes of Tanzania

Lyrics

Yaw yaw

Boss
Boss
Boss
Boss

Mmh leo boss kazaliwa misosi mitungi imelipiwa
Wanangu leo boss kazaliwa kunywa taratibu utapaliwa
Mmh kwanza shukurani ziende kwa manani
Wazazi ndugu, majirani kata keki ipo mezani
Iih boss kazaliwa ai boss uzidi barikiwa punguza marafiki wa mitandao
Baki na marafiki unaohustle nao mh hatutaki machawa wa mitandao
Kata keki na wana uliochuma nao iih boss kazaliwa ai boss uzidi barikiwa

Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Boss
Boss
Boss
Boss

Tunakuombea kwa mola kila kilicho bora
Happy birthday
Uzima afya bora uzidi kutupa madooo
Happy birthday
Happy birthday boss
Happy birthday
Happy birthday
Happy birthday

Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Happy birthday boss
Boss
Boss
Boss
Boss
Boss
Boss
Boss
Boss

::
/ ::

Queue

Clear